Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Hatari sana mkuu, wanachangamsha sebure kwa maswali ya ajabu ajabu, Jesus anacheza mpira?! Nawaambia ndio anacheza yule pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enjoy Mkuu.
Sisi wanawake tuna hekaheka [emoji1787]
Mchana nimecheka
Nilitamani niwaambie ni marudio ila nikaona kiherehere cha Nini.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom