BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu hii basi wafungwe tuu japo ni ngumu sanaWacha wapigwe bhana sisi Argentina tunataka njia safi
Nilikuwa namjibu mtuWhat is this?
Nimepotezaje? kwa kuandika huo mkeka?Umepoteza muda wako bure
Senegal anasubiri sa nne aingie mzigoni kumnyoa beberu england arudi kwaoWanaopasha France wote ni weusi, nikajua Senegal
Duu Spain hii brother........ hata kama mahaba yako yamezidi.
Ingependeza sanaSenegal anasubiri sa nne aingie mzigoni kumnyoa beberu england arudi kwao
#theyarecominghome
View attachment 2435829
Sioni hiyo Game DSTV naona Ya Baadae
Niliona clip ya goal la marehemu Boupa Diop, alipovua shati alikuwa amevaa cheni. Nikajiuliza kumbe zamani walikuwa wanaruhusiwa kuvaa hiyo mikufu, huenda siku hizi wameanza kuikataza kama huyo Kounde kavuliwaNilishangaa sana inakuwaje Kounde anacheza huku amevaa cheni..!Ubishoo uliopitiliza
Kwa Form waliyokuwa nayo Morocco kwenye michuano hii haitokiwa surprise kushinda.Ukitaja timu tatu zilizo perform vizuri WC hii Morocco ipo.Mimi sio mfuasi wa spain ila mpira wao wanaweza kushinda mechi yeyote
Wanakosa maturity ya timu tu
Kushinda kwa morocco inawezekana ila itakuwa km suprise
Njoo mara moja plzNipo
Wanajua wanataka nini kwenye michuano hiiUfaransa wanacheza mpira mnono sana
Bado safari ni ngumu tuwe wapole lolote laweza kutokeaMabingwa hawa mkuu.. si unaona wanavyocheza kibingwa
Nije wapi bossNjoo mara moja plz