Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Nimeona aseeMbappe kaongeza huko
Mbappe anajua kuleta furaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona aseeMbappe kaongeza huko
Ana mashutiii ni balaaMbappeeeeeeee Chumaaaa. Anafunga mabao ya viwango vya FIFA
Up down left right cheat codeMbappe is a cheat code
Huyo Senegal ndio wa kumuonea huruma ,maana anaenda kupigika Kama ngoma [emoji3][emoji3]Uingereza kazi anayo
Ongezea na Dembele hapo haha
Bora kuliko Messi
Kwann huwapemd?Ufaransa siwapendi ila ndo wanazidi kupata mafanikio ivuo
Huku hajamfikia mzee messi bado. Tumpe muda
Senegal tunashinda hii gameHuyo Senegal ndio wa kumuonea huruma ,maana anaenda kupigika Kama ngoma [emoji3][emoji3]
Hawa nao wacha tu wapigwe, kule Ulaya mashariki wamekuwa vibaraka wakubwa wa mashoga zao Westerners (Marekani, NATO & co) halafu kila siku vipo vinashadadia sana ili Warussia wachapike.Kuna tim zilikwenda kutalii Qatar tukianza na Poland
Abeee
Halafu france huwa hatusumbui😀Senegal tunashinda hii game
Hakika