technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Penalty ya wazi washatunyima
England ni wabovu leo awataamini๐๐๐๐๐๐๐๐
England ni wabovu leo awataamini๐๐๐๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann refa hajaenda kuangalia[emoji849]
VAR is not for Africans, hata ile penalty ya Ronaldo ilikuwa ya mchongo tuPenalty ya wazi washatunyima
England ni wabovu leo awataamini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbappe atamzidi Miroslav Klose kama akifanikiwa kucheza 2026 na 2030.Semeni ukweliii
Magoal ya leo ya Mbappe, Messi hatoboi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aende na mteam wake wa Magwaya ufungwe! Ulisikia wapiKwann refa hajaenda kuangalia[emoji849]
Sio umezoea Uwongo wa Wabongo 223,Sema commentators wa 222 hawanogi
Hapana mkuuSio umezoea Uwongo wa Wabongo 223,