Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Mtaanza kuja tu wote.England ikitokea wamepita, Mbappe atajipigia magoli mengi sana
Subiri boli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaanza kuja tu wote.England ikitokea wamepita, Mbappe atajipigia magoli mengi sana
WeweSenegal wana team nzuri
Mkuu umeogopa Nini😂Nimeshindwa kuangalia mechi leo ila kupitia huu uzi ni kama naangalia mechi kupitia comments[emoji2]
Asante mkuuWelcome long time no see
Wanatudanganyia tu kuandika VAR CHECK halafu hapohapo wanapotezea.Kwa hiyo hii VAR haipo kwa ajili ya waafrika sio.
MtakubariiiiiSenegal wamecharuka nao
Si usingizi. Ni pressure ya kupanda. Ushajua hapa mmeyakanyaga.
Subiri kidogo utaonaSenegal akiendelea hivi uingereza wajiangalie