matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
tumeshamaliza kazi, Ronaldo na wapwa wake watuache waafrika na mwarabu wetu. Tofauti zetu tutazimaliza baadae ila tuko naye pamoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HeeeeGoal Ronaldoooo
Morocco inakua timu ya kwanza from afrika kufika nusu fainaliUsiseme nusu fainali, jana tumeshuhudia timu ikirudisha bao 2 kwa dakika 7
Sasa hapa kuna zaidi ya dakika 40
HahahahahahahahahahahahahahshhahaHewalaa
#mauayametuleteanyukiwakaabenchi
🤣🤣🤣Mabishoo watoke Sasa tubaki na wazee wa kazi
Heeee
La wapi tena