Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayele alitawaliwa na BelgiumKazi mnayo wakoloni wa Africa....leo wanacheza wakoloni wa Kina Mayele na wakoloni wa Kina Kibu D....
Pambaneni tuone mshindi
Wachezaji wa kiingereza ni overrated kila sikuKazi ya waingereza ni kukimbikimbia tu na mpira.
Yani mtu anayeaminigi kwamba England inabeba kombe la dunia, huwa namwona kama mlemavu hivi.HT. France 1-0 England. Bado dakika 45 cha Mdomo nao wapande ndege kurudi kwao. Waende kuendelea na kupromot ushoga.View attachment 2442366
Mhh Congo hawaongei kifaransa?Mayele alitawaliwa na Belgium
hesgoal.comNaombeni link guys niangalie hii mechi
Unaona timu yako ina huo mpango wa ku-laugh [emoji23][emoji23][emoji23]He who laughs last laughs best.
Endeleeni kufurahi kwa sasa.
Daah hapo umenigusa mkuu😀Watu wa manyuu mnapenda penati za kuokoteza
Ndio maana dada ulinyimwa namba simba QueensNdio mamdogo.
Kwani we umeona imepigwa penati hapo?
Soccer ni mchezo wa kiume, nyie akina mama mchezo wenu ni rede na mdako, huku mumevamia tu.
Bas itakuwa saf africa kupeleka tim fainaliHakuna cha France wala England wote hao ni vibonde kwa Morocco.
Niamini
Washazoea vya dezoWatu wa manyuu mnapenda penati za kuokoteza
Tunajaribu mkuu🙏🙏🙏🙏Uko vzr mdau seli kavu
Hana tofauti na anayeamini Utopolo au Makolokolo watabeba makombe kwenye ligi za klabu bingwa na shirikisho barani Africa [emoji3526][emoji87]Yani mtu anayeaminigi kwamba England inabeba kombe la dunia, huwa namwona kama mlemavu hivi.
Mwenye namba yake aliumia, sema sio mbaya anajitahidi kiasi flaniLeft back wa France simkubali hata kidogo
liverkuku hamuwezi pita bila kutia neno
Wanaongea kifaransa kwa sababu Belgium pia wanaongea kifaransa na kiholanziMhh Congo hawaongei kifaransa?
Asante mkuuhesgoal.com
Wedicap haina cya dezoliverkuku hamuwezi pita bila kutia neno