Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,262
- 1,956
Uzuri wa Ufaransa hawanaga mambo ya dk 120, mtu unakandwa mapema tu ukapumzike tusichoshane ππ
Ati ni kama vile tu Morroco?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri wa Ufaransa hawanaga mambo ya dk 120, mtu unakandwa mapema tu ukapumzike tusichoshane ππ
yeah moja kafunga moja kakosaKwani maengland yamepata penati mbili π³π³π³
Msamehe bureNajiondoa Rasmi Uingereza, mpaka pale Kane atakapostaafu mechi za Kimataifa.
Mshenzi. Anatazama juu kuwaangalia warembo. Mbwa.
muda utaongea mkuu....Adventina hawana upaja wa kumtoa Croatia
Labda wapate penati mbili kama dusko lilivyowaangukia England
Ngoja kwanza mbungi likishapigwa ndio tutajuaTukuite nani,jichagulie jina kabisa ili tuihifazi hii comment. Ila uzuri tunakujua kwa kujiteka humu JF.
Penati mbili walipewa, moja walipata zari wakafungaKwani maengland yamepata penati mbili π³π³π³
πππNi mapema sana kushabikia timu ya Africa
Pumbavu sana matoto ya malkia yalitaka kupita kiulaini ivyo.yeah moja kafunga moja kakosa
Yani timu inataka matokeo analeta Sterling πππKocha wa England katurahisishia kazi kwa kumtoa nje Sakha
watakutana kutafuta mshindi wa tatuNatamani Fainali Ijirudie.
Japo FRANCE Sikutaka apite.
Croatia vs France.
Croatia....2022
Sasa hivi ni watoto wa mfalmePumbavu sana matoto ya malkia yalitaka kupita kiulaini ivyo.
πππππππππππππππNilikuwa na timu moja. Nayo leo imeaga..nami naaga.
Ila maombi yangu ni Argentina aishie hapo hapo. Asiende fainali.
Morocco safari yake inaishia pale anapoenda kukutana na Mkoloni wake aliyemtawala zaidi ya miongo 50[emoji23]Croatia Vs Morocco
Wewe utabiri wako ni upi?
Ahaa tushazoeya malkia kumbe keshafukiwa dahSasa hivi ni watoto wa mfalme
Dua la kuku halimpati kenge πNilikuwa na timu moja. Nayo leo imeaga..nami naaga.
Ila maombi yangu ni Argentina aishie hapo hapo. Asiende fainali.