Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Screenshot_20221211-150218_Google.jpg

Hii picha ya Ronaldo ki ubinadamu inaniumiza sana...I feel his sadness
Sisi mashabiki hatujui wanavyojisikia pale wanaposhindwa kufikia malengo yao... poleni sana.. hata Messi nae akitolewa atalia na nitajisikia vibaya pia kama ilivyokua pia kwa Neymar Jr...
 
Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out Morocco out
Tusishabikie hayo mabaguzi hayatufai
Kwahiyo ni bora tushakie mabeberu, sio?
Mkuu, wenda umesoma lakini elimu yako haikusaidii kitu.
 
Hii nyanda Ni Rank moja na kabwiri ...Inaki Williams alishindwa nn kuweka ule mpira golini🤔
FB_IMG_16706976001613931.jpg
 
Back
Top Bottom