computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,480
- 6,029
Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] Argentina [emoji1033] vamosssssssssss mabingwa wa 2022 World Cup
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu yako ya Germany si ilisha tolewa, humu unasubiri nini wewe kibiriti ngoma?HII GAME YA LEO UNATAKIWA UANGALIE UKIWA NA PISI PEMBEN [emoji39][emoji39][emoji39]
Kesho hata mpandishe majini uwanjani hamshindiMuliongea hivyo kwa Hispania tukapasua.
Mukaongea kwa Portugal tukapiga.
Hapo kwa Mfaransa ndio rahisi kabisa, maana Mfaransa hana tofauti na Mali.
Morocco bingwa.
Kabla hauja bet tayari ushaliwa pesa zako.Hii leo ndio mechi, kesho inajulikana nani atapigwa za kutosha.
Croatia wapo vizuri, Argentina wapo vizuri, Dk 90 zitaamua, Lakini naiona Argentina na France fainali.
Morocco nyavu zetu zimetikisika mara moja, tena tumezitikisa sisi wenyewe.Mkuu unajua kua mpaka sasa hivi Morocco ndio team yenye defence imara? Usiwachukulie poa kihivyo.
Ukiona manyoya ujue kashaliwaLeo sina team,ila ningependa kuona machozi ya andunje
Magoli manne mnayoyapigia kelele ndo hayo ya penati?Kuna muda huwa unanifanya nijiulize kwamba hizi comments zako ni matokeo ya chuki zako tu kifuani au umeamua kuchangamsha genge tu servers za JF zijae.
Kwenye hili kombe la dunia linaloendelea ...
Messi ana magoli manne (Argentina nzima ina magoli tisa so amechangia karibia nusu ya magoli ya timu nzima)
Messi ana xG (Expected goals) ya 3.79 na xA (Expected assists) ya 1.21 per match.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa shots on target, 22 kwa idadi.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli (chances created), akiwa ametengeneza chances 16 mpaka sasa.
Chances za magoli zinazotengenezwa na Messi per game ni 2.8. Hamna mchezaji mwenye rekodi hiyo mpaka sasa.
Definition yako ya mchezaji 'kurukaruka' ni ipi? Ebu tupatie your reasoning.
Uliamini kama atamfunga Hispania ama Portugal?We unaona kabisa Morocco ni ya kuifunga Ufaransa..
Umewaza vizur maombi yako yatafanya kaziSi mpenzi sana wa mpira ila naomba kuwatakia Croatia ushindi , lengo historia ijurudie na safari hii iwe Croatia ichukue kombe.
Scarrs hampendi tu Messi, hana sababuKuna muda huwa unanifanya nijiulize kwamba hizi comments zako ni matokeo ya chuki zako tu kifuani au umeamua kuchangamsha genge tu servers za JF zijae.
Kwenye hili kombe la dunia linaloendelea ...
Messi ana magoli manne (Argentina nzima ina magoli tisa so amechangia karibia nusu ya magoli ya timu nzima)
Messi ana xG (Expected goals) ya 3.79 na xA (Expected assists) ya 1.21 per match.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa shots on target, 22 kwa idadi.
Messi mpaka sasa ndiye anaongoza kwa kutengeneza nafasi za magoli (chances created), akiwa ametengeneza chances 16 mpaka sasa.
Chances za magoli zinazotengenezwa na Messi per game ni 2.8. Hamna mchezaji mwenye rekodi hiyo mpaka sasa.
Definition yako ya mchezaji 'kurukaruka' ni ipi? Ebu tupatie your reasoning.
Vyuma hatari kabisaIla Crotia ina watoto wazuri balaa
Huwa nakereka sana kuona mtu anamuita mwingine hater kwasababu ya criticismHuyo ana chuki zake binafsi tu zinamsumbua saivi anatapatapa tu haoni pa kujificha
Kwani yuko wapi ni naView attachment 2445662View attachment 2445663
Tupo hapaTeam Croatia [emoji1082] tujuane mapema