Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washapewaa mbonaRefa wa leo sio yule wa robo finally, hakuna penati ya mchongo hapa
Nimeamini argentina anabebwa waswasiGoli la mchongo hili.
Na goli la mchongo siku zote lina rudi.
Mtasema kila kitu mwaka huu mpira ni biashara Kama uuziki hata kushinda kwako kugumu
HahahaNimeamini argentina anabebwa waswasi
Ili kuupa ubingwaa ila wapambne kwa kweli
Kwani lazima kumpenda, simpendi na mimi sio kengeNarudia kama humpendi messi wewe ni Kengee
Scars atasema penati tumebebwa
Yani mbeleko duniani kote mbeleko ipo wala hakuna ambapo haikosekani, kumbe ni kweli kabisa Ureno waliona mbali kuwa hili kombe wanataka kupewa Argentina [emoji1]Poor kabisa
Kwa hiyo unaamini wameshinda?Washapewaa mbona
Muhim Sana[emoji39]Yes babe we have too[emoji39]
Basi wewe ni Mbuzi jikeKwani lazima kumpenda, simpendi na mimi sio kenge
Leo nimejilipua, nimeamua kwenda kibanda umiza, hao sungu sungu nitaruka nao.Nimeamini argentina anabebwa waswasi
Ili kuupa ubingwaa ila wapambne kwa kweli