Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Fj42Fs_XkAAC5P9.jpeg
 
Tumechoka!

Mara ngoja wakutane na uholanzi, mara ngoja wakutane na croatia, mara ngoja wakutane na Mbappe!

Tumechoka, kusanyeni wote waliobaki waunde team moja alafu muwalete tumalizane nao. Maana inakoelekea, hata Ufaransa tutampapasa alafu mseme na yeye ni kibonde!
Mbona hamjachoka penalties za mbeleko ninyi mazumbukuku wa Andunje [emoji848][emoji23]
 
Vamossssss
Kuanzia leo utashangaa kila unayemgusa anajiita argentina
Wale wazee wa kuhamahama. Walikua Brazil, wakahamia uholanzi, wakahamia Engalnd, wakahamia Croatia. Kote huko wamepigwa, na sasa wako France. Napenda kuwaambia kwamba, bado hawako salama, kipigo kiko palepale!

Kwanza nikiwa na dem anahama team namna hiyo itabidi niachane nae mapema. Maana hata penzi letu likipitia misukosuko kidogo, lazima atanikimbia ahamie kwingine!

Ila nikikutana na bebez ya Argentina, natangaza ndoa. Maana inajua kuvumilia, na tutafika nayo mbali kama Argentina yetu!
 
Mbona hamjachoka penalties za mbeleko ninyi mazumbukuku wa Andunje [emoji848][emoji23]
Sasa kama tunachezewa rafu ulitaka tuzikatae penati ili tukufurahishe wewe? Asee jiheshimu!

Kama mnataka michezo ya kutumia maguvu, nendeni kwenye mieleka na judo. Huku kwenye mpira ni akili tu, na nguvu kidogo!

Msipoacha kucheza rafu, hatutaacha kupiga penati. Ukikasirika kakumbatie transfoma!
 
WanaArgentina wenzangu nipo.. Ni vile tu nilikua kdg safar nimeangalia game kwa vipisi vipisi kwny Dstv now(kesho narudia game nzm kwa furaha[emoji23]) lkn nipende kuwaambia tu tutapambana kwa jasho la damu tutafia uwanjan iyo final aje yoyote tu aje yoyote tutacheza naye.

Najua haters hawaelew na hawaamin wanachokiona.. Tumewapa nafas endeleen kubadilisha team lkn sisi tunaendelea kuwa prove wrong na kushinda.

Tukutane wana J2 wana ALBICELESTE.. GOD will save#The[emoji238]

Vamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos[emoji1033][emoji1033][emoji1033]
 
Back
Top Bottom