ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
UnaotaArgentina [emoji1033] tuanze mazoezi ya kunyanyua makwapa tarehe 18
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UnaotaArgentina [emoji1033] tuanze mazoezi ya kunyanyua makwapa tarehe 18
Wew timu lenyewe had mpewe penatiArgentina [emoji1033] tuanze mazoezi ya kunyanyua makwapa tarehe 18
Hathaminiwi na nani? Mbona anaaminika sana kwa umri wake.Kwann Giroud hathaminiwi?
Duh!.Huyu Nazareth upete mtangazaji wa tbc ananifariji Sana aisee,ila kufungwa kunaumaa
Timu ya taifa anathaminiwa sanaKwann Giroud hathaminiwi?
Kuwepo tu hapo inaonyesha anaaminika na kuthaminiwa.Kwann Giroud hathaminiwi?
Leo nimekupenda[emoji12]Almanusura tupige la pili
Tbc zpo mbili hii tbc1 hd ipo poa tu. Ile nyingine ndio inaumiza machoDuh!.
Huumii macho? Chenga mno.
Bora wachukue wafaransa kuliko hao wabaguziMorocco inacheza vizuri sana ingawa wameshafungwa bao moja la haraka haraka. Ufaransa inaweza kushinda tena kombe hili kiujanja ujanja kwa kutumia waafrika.
Pole jamani DEMBA jipe moyo 😘Sio Mimi moyo...
Yan France amuogope argemfyko upo serious kweli uyo Messi xaiz tumbo lishamjaa Gesi we mtu wa sumbawanga unapata wapi jeuri yakuto waogopa FranceHivi france wanamjua wanae enda kukutana nae fainali au wanafurahi tu kuwafunga waarabu
Si ukalale tu Unatafuta nini hapa?Thanx dia ila sina mcheche kivilee timu za leo sizifagilii