Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Au sio?
Morocco wangefunga hili. Lingekuwa goal zuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morocco wangefunga hili. Lingekuwa goal zuri sana
Sanaaa ndo kipimo kilichobakii akamilishe kusudi lake dunianiAna njaa nalo sana.
Hulali?Sanaaa ndo kipimo kilichobakii akamilishe kusudi lake duniani
Ha ha ha, hii ni kama pembeni hapa eti" jamani huyo refa anajua kudaka"Leo niko France. Tukicheza Final narudi Argentina...
Hvi huyu alikuchukuliaga mke au🤣Picha za tarehe 18 tayari zishaanza kutokaView attachment 2447013
🤣🤣🤣🤣Leo niko France. Tukicheza Final narudi Argentina...
Silalii hadi j2 tutwae kombe team 🇦🇷Hulali?
Umenena kweli mkuu, France wanatakiwa wafunge magoli Zaidi ya Moja ndo angalau wawe na unafuuUfaransa wawe makini sn, moroco km watarudisha goli bas watazuia weee. Na wakifika matuta ujue moroco anapita. Haww wanatakiwa wafungwe magoli ya chap chap