2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
HakikaWana nafasi ya tatu bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaWana nafasi ya tatu bado
Vipi mkuu una lipi la kusemaBaada ya muda utaniambia ni nani aliyedandia mtumbwi wa vibwengo, nitakusubiri hapa hapa.
Yani hiyo timu yenu ikikutana na clinical finishers, mnalala na soksi.Ama kweli mizimu ya mababu wa Africa imekasirika, kuna nafasi za wazi kabisa Morocco wanakosa mpaka unashangaa[emoji23][emoji23].
Yule sub wa moroco alipata chance kama ya mbape hakupiga mpira mwenzake kapiga kapatia timu goliMorocco wamepigana siku tegemea kama wange dominate mechi kiasi hiki ila mwisho wa siku mkubwa anabaki kuwa mkubwa experience ina matter.
Mbappe ni fan boy wa Ronaldo kitambo na ameshaua ndoto za Messi kuchukua ubingwa mwaka 2018. So ni kazi kumlinganisha na idol wakeSaivi eti wanamshindanisha na Messi.
Sijui kwanini wasinshindanishe na Ronaldo
Ha ha ha ha ha ha, sasa Utulivu umekuwepo. Hali ilikuwa sio shwariAhsante Ufaransa kwa kutuletea sisi wamatumbi wenzenu utulivu.....
Eti ushindi ni kwa waarabu na waislam... Mavi matupu.....
Na wakati ujao waende huko huko Uarabuni kwao, kutafuta nafasi ya kufuzu mashindano yajayo. Waache kutuzibia Waafrika nafasi za za kufuzu.Morocco walijikweza sana Acha waonje joto ya jiwe
Hatutaki kujua,l Spain, Portugal walicheza mpira sana ila walivyotolewa hamkuleta hizi mbanga.Kucheza Morocco wamecheza