and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Wabongo au vibwengo?Hiki kipigo ni kwa ajili ya Morrocco waarabu na wabongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo au vibwengo?Hiki kipigo ni kwa ajili ya Morrocco waarabu na wabongo
Yale mavorikou akili zao wao ni kuzomea watu.Hiyo ndio football yani bado pamoja na kupoteza baada ya mpira wanapeana mikono
Piga Kenge Waarabu Koko toka Mchambawima hao [emoji847]Hiki kipigo ni kwa ajili ya Morrocco waarabu na wabongo
Sisi Waarabu wa Qatar ambao tumeandaa hii michuano na Morocco ambao tumefika nusu fainali, hatuna deni na nyie wadau.Hatutawadai kwasababu msingetulipa
France hawaamini uchawiHivi kuna watu na akili zao zenye utimamu walikua wanaiona Morocco akiifunga France?? [emoji23][emoji23][emoji23]
wao ni waarabu piwa!!Afadhali sasa... Na waanze mchakato wa kujiundia bara lao wenyewe maana hata Ulaya hawawataki
Nazan imani mana warabu Wana imani Kali kweli sema tuwape hongera maana wametusaidia Africa tuongeze idadi ya Timu za kushirikiHao washangiliaji wamoroco wanalia sijui nani aliwadanganya watawafunga France
Vibwengo hadi vilifungua nyuzi tele kuanza kuji-proud kuwa wao ni Waarabu uchwara huku wakitetea upumbavu wao [emoji16]Hivi kuna watu na akili zao zenye utimamu walikua wanaiona Morocco akiifunga France?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumfananisha Mbape na Messi ni kuukosea adabu mpira. Huyo mtoto ana mengi ya kufanya kugusa career ya Messi duniani.Mbappe ni fan boy wa Ronaldo kitambo na ameshaua ndoto za Messi kuchukua ubingwa mwaka 2018. So ni kazi kumlinganisha na idol wake
Argentina atatufuta machozi..😂😂..Warabu bwana Kuna watu walikua wanajipa imani Morroco atarudisha Goli
Kwa hili waarabu hawa wamefanya jambo jema. Sisi mipango ni mwaka 2030.Nazan imani mana warabu Wana imani Kali kweli sema tuwape hongera maana wametusaidia Africa tuongeze idadi ya Timu za kushiriki