Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mimi mkuuKumfananisha Mbape na Messi ni kuukosea adabu mpira. Huyo mtoto ana mengi ya kufanya kugusa career ya Messi duniani.
Huyu hapa👇🏿👇🏿👇🏿Hao washangiliaji wamoroco wanalia sijui nani aliwadanganya watawafunga France
Mbaya zaidi wametolewa na Waafrika wale wale! Tofauti yao ni uraia tuArab league leo kuna msiba!! Maana Morocco Uafrika wanalazimishwa tu!!
Sisi tunatunza tu hizi kumbukumbu ili mkipokea kipigo kingine na Messi mbeleko wenu tukutane hapa [emoji3]Fainali nipo kwa Messi black france mnisamehe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wew shangilia tu huko huko argemfyko maana France hakuna mashabiki waleviFainali nipo kwa Messi black france mnisamehe[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Waafrika!!Ushindi wa leo ni wa watu gani?
Waarabu na dini yao.Ushindi wa leo ni wa watu gani?
Na watokomee huko huko Uarabuni hao vibwengo wasijipendekeze kwenye ardhi ya bara letu la Africa [emoji1787]Wale wanyamwezi wameshinda dhidi ya wale waarabu
Ushindi huu ni kwa ajili ya wanyamwezi na Waafrika wote
Asanteni sana Ufaransa kwa kuwapa ukimbizi hao ndugu zetu
OkayWaarabu na dini yao.
Wamwache mtoto acheze banaMbappe ni fan boy wa Ronaldo kitambo na ameshaua ndoto za Messi kuchukua ubingwa mwaka 2018. So ni kazi kumlinganisha na idol wake
Aah mbona Messi ni fanboy wa maradona ila bado wanalinganishwa tu.Mbappe ni fan boy wa Ronaldo kitambo na ameshaua ndoto za Messi kuchukua ubingwa mwaka 2018. So ni kazi kumlinganisha na idol wake
Na wenyewe watakalishwa tu chini.