reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Kila yule ana mbinu zake,Morocco wamejifunza kwa Argentina, wakienda wameenda. Huenda Croatia akapigwa bila kuelewa kapigwa pigwa vp
Waweza usema wamejaa kwenye 18, kumbe unaliwa kichwa,
Mechi zote hii WC kuacha za nusu fainali ni mwendo wa Suprise tuu.