Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

2514B87D-76CC-4092-8266-E1075C288AA2.jpeg
 
Jaman football is beautiful,ni tamu,meeeen kweli mnafaidi.As we come to an end(of WC),I personally would like to thank kila mmoja wenu humu kwenye huu uzi kwa upendo wenu.
Nimejifunza vingi abt football,cnt wait for EPL.
We timu gani hapo epl
 
Messi atawauaa jamani mwee na ufupi wake walaaaa watu wanamuona mrf kama peter krochi sijui anaitwaga hivyoo... hahaha
Anaitwa Peter Crouch mtani humohumo... Ufupi wa Messi hata siuoni yaani mtani. Yaani Messi moja kwa moja Peponi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom