Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoka mafichoni? [emoji1787][emoji1787]Usemaaa?[emoji23]
Yani Ile penati imenifanya nione FIFA na shirikisho la kipumbavu sanaChawa wa Messi muombee huyo kijana apewe penati na refa hana lolote huyo mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawaaaahMim France tuu
Niko kwenye maombi mkuu. Niache kwanza . Nitarudi hapa baada ya ushindjHahahahaa ila leo umegeuka pasta hahaha
Vp karanga za mbape umezionaAmemaliza kuzila au bado anatafuna?
limeingia baunsa flani hivi kijeba, kidogo lichomeshe. Di maria alikuwa anawatisha mabeki wanaogopa kupandaIle Sub Ya Dimaria ileeeeeèeee
Mkuu mnalala leo!!Mbappe ni team Ronaldo huyu
Kesha acha kutupia sijui sababu 😂Auntie nakutegemea kwenye kutupia picha umeanza vizuri ujue
Kwa penalty tu yuko vyema kwa kweliHuyu Messi huyu
Aisee nilikuwa na kiburi sana yaani ilikuwa bado kidogo niongeze dau kipindi cha pili hapa kichwa kinawaka motoPole, Ila wamatumbi wa Ulaya sio watu wazuri 😂
Tukiwambia jamaa walikua wanatengenezewa mazingira wanabishaRefa msenge filimbi ya nini watu wana advantage faulo ya Coman