Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 790
- 1,923
Hii vita france anashinda mapea dk15 hakuna matuta hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau baada ya Dembele na Giroud kutoka, Ufaransa wanaonekana kutaka kitu.
EAT inanukia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaipata furaha sasa au sio?
Ndo ukweli huoTukiwambia jamaa walikua wanatengenezewa mazingira wanabisha
Kombe gani la vichaaa labdaYani saivi tungekua tunashangilia kombe letu daah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baada ya hapa siangalii tena mpira narudi kwenye muvi. Hakuna maumivu huko
Ile mechi ya Argentina na Uholanzi ndicho nakiona leo. Hii mechi ingekuwa imeisha mapema sanaNini kimetokea kwa Argentina [emoji1033]?sub ya Di Maria na boko la Otamendi yametupoteza tuendelee kubana Pum*** hali ni mbaya
Kenge mama yakoWe Kenge usilazimishe kila Mtu apende unachopenda, duniani tuko Watu B 8 kasoro M 200, fikiri kwa akili za kuvukia barabara tu kuwa kwanini tusitofautiane upenzi na ushabiki wa timu na wachezaji?
Kenge wa bluu wewe.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hahahahaya france njooni sasa panogeeeeee maana palipoa. bado kombe la argentina tuuuuuu
Mimi nilijua tu, kwanza mlitaka jamaa yenu (Pessi) achukue golden boot kwa magoli 4 ya penalty kati ya sita aliyofunga?😂Umetoka mafichoni? [emoji1787][emoji1787]