Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nakwenda Bank kuombea mkopo hii picha.
IMG_8069.jpg


GOODMORNING
 
Messi amejua kutupa raha japo mbappe alikua ananinyima raha mwanzo mwisho
Gap la mbappe na wachezaji wenzake kiufundi ni kubwa mno jana tumeona!
All in all tulifurahi,
 
Mbappe ndio King pale Psg alikuwa akiwatawala messi na neymar watu wanasema hana nidham. Leo anamuaibisha king wa mchongo
Eti Mbape ndo king pale PSG .... Huku umebana pua... Unajua Messi10 ana magoli mangapi hadii sasa? ana vikombe vingapi hadi sasa, ALAFU ana Miaka mingapi!!!!! ALAFU unakua KUMLINGANISHA na kikojozi wenu mbape, acheni udwanzi na ushabiki maandazi....

Messi10 ni level ya kina Pele, Maradona, Johan Cruyff ... Unawajua hao !???
 
Mungu nimekuita kwa ajili ya Argentina tangu waaibike kwa mechi ya saudi na nikauona ukuu wako. Mungu naomba leo ukajidhihirishe tena ili hata asiyekuamini akuamini. Wapatie Argentina ushindi. Nitarudi hapa baada ya ushindi. Maana Mungu niliyemuita Mungu wa mama yangu hawezi niabisha. Watch and see His greatness
Na ikawa kweli!!! Mungu asingeacha kumpa kombe hili Messi10 maana alimleta hapa dunia Ili kuionyesha dunia kwamba kama unajua/ unakipaji hutakiwi kuongea sana Wala kujivuna au kuji mwambafai juu ya kipaji chako badala yake acha maajabu yako yafanye watu kuongea juu ya uwezo wako na kipaji chako.....

All in all iwe fundisho.....
Hasa kwa wasiompenda Messi10 bila 7bu za msingi....
Yaani walidhani chuki zao dhidi ya Messi10 na Argentina zitasaidia timu Yao ya Ufaransa kubeba kombe..... Sasa hivi wamejificha
 
Nashangaa wanaoshabikia Argentina, america kusini ni bara ambalo lina weusi weeengi lakini shangaa kwenye timu yao ya taifa hakuna mchezaji mweusi, miaka ya 1820s baada ya biashara ya utumwa kusitishwa raisi wao aliwaua watu weusi weengi sana wengine wakakimbilia Brazili na Ecuador Mimi ni nani niwashabikie waargentina?
wote msiompenda Messi10 nasaka comment zenu.... kwa hiyo we unasemaje ndoo Messi10 kachukua..... Kama vipi andamana....
 
Messi alikuwa anaangalia ubao wa muda mara nyingi na kusmile, kumbe hajui zimwi linamuwinda
Anayecheka mwisho ndiyo hufrahi zaidi...
Mungu ni fundi kuliko unavofikiria wewe...
France mlirudisha magoli Ili mwone kan kwamba mnachukua eti back to back.... Hakuna Cha back to back.... ni forward to forward ndiyo kilichotokea....
 
Back
Top Bottom