Hazipo kisheria, na sio lazima ulipe, tena kama ardhi imepimwa utazidisha costs sanaTunalipa 10% ya manunuzi ya aridhi hizi zipo kisheria au? na kama zipo kisheria mbona hakuna control number?
Alilazimishwa kuwa mwwnyekiti kwaniUnataka mwenyekiti wa kijiji au mtaa ambaye halipwi hana mshahara ashughulikie mambo yako bure?
Na wewe unajiita mwana JF?
Wewe jibu hoja msiba baki nao weweWekeza acha kulialia hao wakila hiyo 10% sawa tu ni wenzetu hata ukipata msiba na raha wapo karibu na wewe.