Aripukiwa ! Akimbizwa Hospitali - Ipo mantiki ?

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Hivi majuzi wanaohusika na media walitutangazia kua Fundi mmoja wa Tanesco , akiwa ktk majukumu yake ya kazi maeneo ya Kigamboni , aliripukiwa na Transfomer.

Na kwamba kilichofatia Fundi kiwiliwili chote kiliteketea , na kilichokua kikionekana baada ya tukio ni mifupa yenye rangi nyekundu tu! .

Kisha ikaja Ambulance (ambalensi) na kukimbizwa hospitali , huku hali ya Fundi haihitaji hata elimu ya darasa la7 kujua Fundi has been deceased already!
Hata kichwa cha Fundi tayari kilishabaki mkaa wa ukubwa wa ndimu !

Nachokiomba hapa mnijuze muhanga wa hivi , mantiki ya kumkimbiza hosp, badala ya kumpeleka taratibu tu ?
Au kumkimbiza majeruhi ambae kichwa na kiwiliwili vimeshatengana!

Nini mantiki ya kukimbia ?
Ilhali mnajua mnaenda mortuary ?
Au wanafanya kazi kwa kukariri ?
 
Wakati flani tukiwa tuko msafara wa kupeleka maiti kwao kwa mazishi, dreva alikua anakimbiza gari , lenye maiti kama tunawahi tukio maalumu .
Matokeo gari liliserereka na kupinduka , na ku'create maiti wapya wengine wa3 !
Mantiki ya kukimbia unnecessarly huweza ku'cost new loss !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…