Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Ya fedha au uchumi?Na Robert KIYOSAKI ndio baba wa masuala ya fedha duniani hana mpinzani.
Ya fedha mkuu kuna kitabu chake kimoja kinaitwa "INCREASE YOUR FINANCIAL IQ" Mkuu, kitafuta hutajutia katema nondo sana Kaelezea jinsi wanaume wanavyopoteza utajiri kwasababu ya ndoa na njia ya kuepuka na jinsi nchi zilivyoingia kwenye mtego wa taxes na marekani wanavyo print money kinyume na sheria ameziita funny money or counterfeit money na jinsi gani ni hatari kuhifadhi dola hazina badala ya dhahabu.Ya fedha au uchumi?