joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kumbuka kwamba, Tanzania ndio nchi pekee hapa duniani yenye makampuni Mengi ya Kenya yaliyowekeza, uje uwaambie wakenya wote wenye makampuni zaidi ya 500 wafungashe na kwenda nchi zingine.Hehe tumekubaliana angalau kwa hili jambo. Hamna haja ya sisi kulambana nyuma