Arnold kayanda (jahazi) na Gerald hando (power breakfast) yuko wapi?

understanding

Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
75
Reaction score
34
Wadau, nimekuwa nikisikiliza Jahazi takribani siku kadhaa sasa bila kusikia Arnold Kayanda wa jahazi la Kibonde wala Gereld Hando wa PB.

Hawa watu (top in town) wako wapi? mapumziko au ndio kishanuka??

Mwenye data atusaidie hapa...
 
kayanda is my favorite pale clauds. sijamsikia kitambo aisee.wadau watatuhabarisha
 
gerlad hando jana ijumaa saa 3 asubuhi nilimuona anatangaza kipindi cha TMAA star tv
 
wadau, kama sijawaelewa vizuri, ina maana hawa watu hawapo tena redio mawingu, mjengoni?? kwanini wameacha kazi pale wakati wanaonekana mambo safi, kama Gerald tunasikia analipwa kisu kirefu usipime???

sasa power brerakfast itakaliwa na nani?? nadhani Gerald alifit sana...

jaman mnauhakika kabisa hawa watu hawapo tena maawingu??? naomba kukiri, nimepokea hizi habar kwa msituko mkubwa sana..
 
Kwani hao ndo kina nani mbona mi siwajui
Wameshawahi kuchezea Taifa Stars au
 
Kwani hao ndo kina nani mbona mi siwajui
Wameshawahi kuchezea Taifa Stars au

Mbona hawa ni wabunge viti maalum mda mrefu sasa hadi kuna minon'gono ya chini kwa chini ikidai kuwa lile pendekezo la kwamba muda wa ubunge wa viti maalum uwe mi miaka 5 unawalenga wao!
 
wadau, kama sijawaelewa vizuri, ina maana hawa watu hawapo tena redio mawingu, mjengoni?? kwanini wameacha kazi pale wakati wanaonekana mambo safi, kama Gerald tunasikia analipwa kisu kirefu usipime???

sasa power brerakfast itakaliwa na nani?? nadhani Gerald alifit sana...

jaman mnauhakika kabisa hawa watu hawapo tena maawingu??? naomba kukiri, nimepokea hizi habar kwa msituko mkubwa sana..
 
Kumbe celebrity wa tz ni clouds fm na wafanyakazi wake... Sikujua lolz

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kuna mtu alifiti kwenye pb kama kipanya na fina? Hawa wengine wote ni mangumashi tu. Ila na mimi nataka kujua ni kweli hando laenda star tv? anatangaza kipindi gani?
 
Gerald hando kaamua na yeye akasafishe cheti yupo Eagles Training College-Kariakoo.
 
Reactions: PhD
Gerald hando kaamua na yeye akasafishe cheti yupo Eagles Training College-Kariakoo.

KIBONDE yupo NJUWENI COLLEGE OF TOURISM AND HOTEL MANAGEMENT KIBAHA, field anafanyia KAULI YA BIBI HOTEL
 
HGL- SUA -KILIMO??????
Nenda pale CASS (linguistics) utamkuta.

Mbona mimi ni HGL +SUA au kwa mtazamo wako unadhani waliopo sua ni waliosoma nini?au ukisikia kilimo ni unajua kilimoooooooooo TU
 
Mbona mimi ni HGL +SUA au kwa mtazamo wako unadhani waliopo sua ni waliosoma nini?au ukisikia kilimo ni unajua kilimoooooooooo TU

I thought watu wa PCB, PCM and the like ndio wanaenda SUA sababu ya nature ya kozi zinazotolewa huko. Anyway hayupo SUA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…