kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Hivi huyu mbwiga ni mtangazaji au mchekeshaji tu kawekwa pale apate pesa kula?
Hizi ni salam kwa Kibonde anayetaka akitawale kipindi kufunika nyota za wenzake, lakini ajuwe wakitakiwa maprofesheno kwenda redio kubwa yeye atabaki clouds mpaka kifo chake.
Halafu huyo jamaa nafikiri ni mlevi sana wa pombe kali,maana sauti yenyewe ka mpiga debe wa kariakoo vile.