Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
na wewe muache mleta mada na maisha yake.
watu wanapenda arobaini kasoro wezi huwa hawapendi arobaini kabisa, maana za mwizi ni........Ha ha haaaa
40 kaiandaa yeye huko UG
Shost habari kama hizi zinatuongezea wengine umri wa kuishi wasiopenda waache kusomaLeo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Unawapangia jinsi ya kuishi watu wazima?Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Hakuna dish kupinda wala nini hawa ma jirani zetu wa insta lazima kila linalojiri watufahamishe ingawa tunaitwa vichupi kunukaKwa hiyo wewe ndio mwenyekiti wa hiyo 40?
Yani unasema kakimbia 40 halafu papo hapo unauliza kuwa kama amekosa hela ya kufanya 40? Mbona hueleweki?
Bila Shaka jitazame upya dish litakuwa limeyumba....
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]cotton and condition of you
pambana na hali yako
Unaathrika vipi yeye akifanya hivyo?Leo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
Ila watu bana sasa ww ayo yanakuhusu au uyo zari ni mwanao acheni kupangia watu maisha yao ivi hamuoni aibuLeo ni arobaini ya marehemu mama Zari huko Uganda, badala Zari apande ndege akamfanyie kisomo mama yake kaenda Madale kufanya shooting ya muziki wa Diamond.
Kweli Zari kakosa hela ya kumfanyia mama yake arobaini kweli? Ikumbukwe siku saba baada ya mama Zari kuzikwa Diamond alimchukua Zari wakaenda honeymoon ya msiba Mombasa.
Hivi angekuwa amekufa mama Diamond, asingeombolezewa kwa taratibu zote za kiislam? Wanawake tujifunze kuheshimu dini zetu na familia zetu, Diamond ana mama yake ana kazi yake inastawi.
Zari nae Wasafi wanamtumia tu hao kina Tale ni wanafiki tu. Wapenda kiki hao wakishamtumia watamtupa kule.
unajua unapenda kuongea tu weweUngeishi nchi za wengine na ya msiba kuyaona.. ungeandika magazeti. Mumuache na maisha yake.. wewe tekeleza hayo kwako utakapopata boyfi au mume kabisa.