Arobaini ya marehemu mama Zari Madale, inasikitisha

'komenti' bora mpka sasa katika nilizoma!
bravo!
 
Huwa nakusapoti tu hata uandike jema au baya halafu hii hali sijui inasababishw na nini

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Hayo yote hayasaidii kwa mtu ambaye sasa ivi ni mzogo.
Kwa iyo ukijipendekeza kwa mzogo ndo ataenda mbinguni?
 
Zari ana laana..itamtafuna maisha yake yote!mwanamke alokosa haya kabisa
 
Mbona mara mnasema zari kafunga ndoa na chibu, mleta mada anasema ana shoot video ya wimbo...
Kipi ni kipi sasa...
 
Zari hana akili, diamond nae hana akili .What a vombination!Watoto wao watakuwa wanakuwa wa mwisho Darasani. Hata wale watoto wa zari wakubwa ni vilaza. Wangekuwa vipanga Zari lazima angerusha matokeo kwenye insta page yake.
 

Hivi arobaini ni lazima ifanyike siku ya arobaini?
 
Ungeishi nchi za wengine na ya msiba kuyaona.. ungeandika magazeti. Mumuache na maisha yake.. wewe tekeleza hayo kwako utakapopata boyfi au mume kabisa.
Kwakuwa haishi ktk nchi za wengine na hajaona hayo uliyoyaona mwache nae atowe maoni yake kwa mujibu wa mila za nchi yetu na matakwa ya Dini ya kiislamu huwezi kuacha kumuombea dua mamayako mzazi na kwenda kwa hawarayako hii ni kinyume na maadiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…