Napoleon Jr
Member
- Apr 2, 2018
- 62
- 36
mi nimkimbizi toka fesibuku naomben hifadhi hum ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38]karibu mkuu[\i]mi nimkimbizi toka fesibuku naomben hifadhi hum ndani
pamoja sana kiongoz[emoji38]karibu mkuu[\i]
Angaria usirete za fesibuku aka uso wa kitabu.mi nimkimbizi toka fesibuku naomben hifadhi hum ndani
mbona unakuja kwa lugha ya kihuni, all in all Karibu!mi nimkimbizi toka fesibuku naomben hifadhi hum ndani
apana kiongoz ni utani tuu iyo fesibuku yenyewe sijawahi kuwa mwanachamambona unakuja kwa lugha ya kihuni, all in all Karibu!
asante sanaWelcome
√Welcome
Just kidding, you are welcome!apana kiongoz ni utani tuu iyo fesibuku yenyewe sijawahi kuwa mwanachama
yap mi ni mgeni kweli nilikua nikifatilia Jf kwa chinichini siku nyingi mpaka nilipoamua kujiunga hivi karibuniWe ni mgeni kweri?
mizigo ipi tena..ebu nijulisheili nikae tayarLakini chunga mzigo wako!
Kuna vibaka humu! kama kuna chochote umekuja nachomizigo ipi tena..ebu nijulisheili nikae tayar
Ok kalibu sana ira hiri jina rako kuna mtu yupo humu mnafanana idyap mi ni mgeni kweli nilikua nikifatilia Jf kwa chinichini siku nyingi mpaka nilipoamua kujiunga hivi karibuni