United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Kitu kilichonvutia toka Kwa arteta ni Ile kutaka kurudisha Aresnal Kam ya kipind cha mzee wenu Wenger arsenal ya kina Samri nasri,Cecs Fabregas, Robin van persie.
Theo Walcott,Niclas bendtener , Eduardo da Silva,Thomas Rosciky,Carlos vela,William gallas, Emanuel adebayor n.k kuna kipind arsenal karbia timu yote ilikua imezungukwa na vijana tupu afu karibu wote ni mafundi ila shughuli kuchukua ubingwa wa ligi kuu ndio ilikua tabu naona kidogo arteta na vijana wake kina odergaard bukayo Saka, Sambi lokonga, n.k mnataka kuanza kuleta changamoto kweny ligi ila kidogo sio sana
Arsenal msisahau tunawakumbusha leo mnadondosha point3au2 pale old Trafford iwe Kwa kufungwa au Kwa kutoa draw kwanza nazan mnaijua rekodi yenu mbovu yakutoshinda old Trafford kweny mechi za ligi kuu england ukitoa Ile mechi ya 2020 mlioshinda Kwa penati ya mchongo iliyosabishwa na kinyambe sizani Ata Kam mnakumbuka mara ya mwisho lini mliondoka na point tatu pale old Trafford kweny mechi za Ligi kuu England Zaidi zaidi mnakumbuka zile goli nane tulizo wakandamiza kipindi Cha mzee Ferguson
Kitu kingne nawakumbusha Aresnal acheni kuota ubingwa msijisahua kweny nafasi ya watu wenyewe wanakuja man city kutoka draw na astovilla kusiwape kiburi even spurs yupo mkiani kwenu kidogo msimu huu mmebadilika ila mkae mkijua ubingwa kwenu ni ndoto tu Kam ndoto za usiku wa manane kwanza takwimu Kwa hii misimu ya karibuni zinaonesha ili uwe bingwa uwe na wastani wa kufikisha point 90 kwenda juu ili uwe nafasi ya pili uwe na wastani wa kufikisha point 80 kwenda juu Kwa msimu nyinyi wezetu kina grant shaka mi red card mtaweza kukaza msimu wote muwe na wastani wa kufkisha point 90 kama vipi angalieni point za bingwa na aliyeshika nafasi ya pili Kwa misimu mitano mjione mnavo ota ndoto ya kuokota pesa kitandani
msimu wa 2021/2022 city point93 live 92
Msimu wa 2020/2021 city point 86 united 74
Msimu wa 2019/2020 live point 99 city 81
Msimu wa 2018/2019 city point 98 live 97
Msimu wa 2017/2018 city point100 united 81
Msimu wa 2016/2017 Chelsea point93 spurs 86
Msimu wa 2015/2016 leceiter point 81 Aresnal 71
mnataka kusmbua watu mchana kweupe Yan ndani ya misimu mitano nafasi ya pili mmepata mara moja tu afu now ushindi wa mechi Tano mnaleta dharau na usumbufu msimamo wangu ni ule ule Aresnal hawezi kumaliza juu ya spurs na mancity Kam mtashika nafasi ya tatu na nne mtajua nyinyi na iyo nafasi ya tatu au nne muombe united, Livepoor,chelsea zibolonge kweny mechi zao