Arsenal anatolewa na Bayern Munich leo

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Katika uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich nchini Ujerumani kuna mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UCL.

Baada ya droo ya 2-2 wiki iliyopita, leo Bayern Munich wanawakaribisha Arsenal.

Hili ndio taji pekee ambalo Bayern kabakisha na nina uhakika watataka wafike mbali zaidi baada ya kuukosa ubingwa wa Bundesliga. Kwakuwa Bayern ni timu ya vikombe, siwaoni Arsenal wakitoboa leo.

Leo Arsenal atapigwa kama kasimama na kuendelea na rekodi yake ya kumaliza bila kombe kila msimu.

Tukutane saa 4:00 usiku
 
Ilo ni suala ambalo linafahamika kwa mtu yoyote anaefuatilia soka sijaona kama lina uzito wowote kiasi cha kulianzishia uzi.
 
Waache wauane
 
Bayern Munich hawezi kufika mbali popote maana akimtoa Arsenal atakutana na Manchester City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…