Arsenal anatolewa na Bayern Munich leo

Arsenal anatolewa na Bayern Munich leo

Katika uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich nchini Ujerumani kuna mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UCL.

Baada ya droo ya 2-2 wiki iliyopita, leo Bayern Munich wanawakaribisha Arsenal.

Hili ndio taji pekee ambalo Bayern kabakisha na nina uhakika watataka wafike mbali zaidi baada ya kuukosa ubingwa wa Bundesliga. Kwakuwa Bayern ni timu ya vikombe, siwaoni Arsenal wakitoboa leo.

Leo Arsenal atapigwa kama kasimama na kuendelea na rekodi yake ya kumaliza bila kombe kila msimu.

Tukutane saa 4:00 usiku
Hatimaye yametimia, James Tupatupa, Mtangazaji wa Clouds TV aliahidi kuwa atachinja Ng'ombe endapo Asernal itatolewa, yeye aliamini Arsenal itafuzu katika hatua, hilo zoezi la kuchinja Ng'ombe linatakiwa liwe Mbashara...
 
Mbona thread yako kama unalia yaan baba leo nimekuwa wa mwisho tena mtihani wa taifa nimepata zero
 
Back
Top Bottom