Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hatimaye yametimia, James Tupatupa, Mtangazaji wa Clouds TV aliahidi kuwa atachinja Ng'ombe endapo Asernal itatolewa, yeye aliamini Arsenal itafuzu katika hatua, hilo zoezi la kuchinja Ng'ombe linatakiwa liwe Mbashara...Katika uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich nchini Ujerumani kuna mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UCL.
Baada ya droo ya 2-2 wiki iliyopita, leo Bayern Munich wanawakaribisha Arsenal.
Hili ndio taji pekee ambalo Bayern kabakisha na nina uhakika watataka wafike mbali zaidi baada ya kuukosa ubingwa wa Bundesliga. Kwakuwa Bayern ni timu ya vikombe, siwaoni Arsenal wakitoboa leo.
Leo Arsenal atapigwa kama kasimama na kuendelea na rekodi yake ya kumaliza bila kombe kila msimu.
Tukutane saa 4:00 usiku
Washenzi sana wale jamaa sio wa kuwawekea dhamanaAzam mwenyewe kapita na wewe tiari..
Asee umepigaje hapoBayern Munich hawezi kufika mbali popote maana akimtoa Arsenal atakutana na Manchester City
[emoji2957]Arsenal anashinda 1-0