Arsenal chaliii

Arsenal chaliii

Joined
Feb 17, 2017
Posts
18
Reaction score
8
Daa!!!!!arsenal mbona mnanitesa nyie mi kabila lang mhehe mjue alaf uyu kocha anayefanana na Mr bean kwan timu yake iyo so aondoke jmn[emoji27] [emoji27]
9f1ef8dd885ae2d77fe25c62c926823a.jpg
 
Tulia wewe, ProfesA Wenger atarekebisha mambo
 
Muda sio Mrefu watafikia mwamba wa Mafuta wanashuka kwa Spidi kali sanaa.

Ila Wenger Mtata sana Leo nimeona mabango ya WENGER OUT ila mzee walaa hata hajali.
 
Back
Top Bottom