Arsenal ina miaka saba haijacheza UEFA! Je, inafaa kuitwa timu kubwa?

Arsenal ina miaka saba haijacheza UEFA! Je, inafaa kuitwa timu kubwa?

Next time usivamie wanaume na kujichekesha chekesha

Always dawa ya moto ni moto

No room kwa wajinga
 
Naiweka hilo kundi kwasababu moja kuu

Zote zimeshinda ligi ya uingereza na zote hazijashinda ligi ya mabingwa ulaya,uefa, europa, conference ligue
Usiifananishe Arsenal na takataka Spurs. Arsenal ana Premier Legue ngapi na FA ngapi?. Tottenham wafananishe na Everton au Sunderland.
 
Back
Top Bottom