Arsenal inaangalia uwezekano wa kumkabidhi Mikel Arteta mikoba ya ukocha. Je, ataiweza?

Arsenal inaangalia uwezekano wa kumkabidhi Mikel Arteta mikoba ya ukocha. Je, ataiweza?

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Maafisa wa Klabu ya Arsenal wanadaiwa kuwa kwenye mazungumzo na wenzao wa Manchester City kuangalia uwezekano wa kumpata Mikel Arteta kama mrithi wa Unai Emery

Mapema leo, Maafisa hao wa Arsenal walipigwa picha wakioneka kutoka nyumbani kwa Arteta ambaye ni Kocha Msaidizi wa Manchester City

Mtendaji Mkuu, Vinai Venkatesham na Mwanasheria wa Arsenal, Huss Fahmy walionekana kuondoka nyumbani kwa Arteta wakidaiwa walikuwa na Kikao cha takriban saa mbili na nusu

Taarifa zinadai kuwa Arsenal inatafuta Kocha anayeijua Klabu hiyo, anayeijua Ligi Kuu ya England na anayewezakuchukua nafasi hiyo mara moja
*****

Arsenal officials are in talks with their counterparts at Manchester City over the availability of Mikel Arteta as they search for Unai Emery’s replacement.

Arsenal officials were photographed leaving City assistant boss Arteta's Manchester home in the early hours of Monday morning with the club expected to appoint a new manager before the end of the month.

1.png

Arsenal chief executive Vinai Venkatesham leaving Mikel Arteta's Manchester home in the early hours of Monday morning​


Gunners chief executive Vinai Venkatesham and the club's lawyer Huss Fahmy were photographed leaving Arteta's home around 1.20am, following a reported two-and-a-half-hour meeting with the leading candidate.

Even before Sunday night's meeting was revealed, City officials had decided to ask Arteta to help them end three weeks of speculation linking him as the favourite to replace Emery at the Emirates.

2.jpg

Arsenal's lawyer Huss Fahmy is also pictured leaving Arteta's house

Following the manner of Sunday's 3-0 defeat by Manchester City, Arsenal have made it clear that action is required to halt a dramatic decline which could see the club missing out on a top-four finish for the fourth season in a row.

The Arsenal board are looking for someone who knows the club, knows the Premier League and is available to take over immediately.
 
anceloti angefaa zaidi
Kwani issue ya Arsenal ni kocha au quality players. Hata wakimleta Klopp kwa wachezaji waliopo hakutakuwa na tofauti yoyote.

Wenzao Liverpool na Man City wanafanya vizuri kwa sababu ya kuwa na world class players, contribution ya manager/kocha ni kama 30% tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani issue ya Arsenal ni kocha au quality players. Hata wakimleta Klopp kwa wachezaji waliopo hakutakuwa na tofauti yoyote.

Wenzao Liverpool na Man City wanafanya vizuri kwa sababu ya kuwa na world class players, contribution ya manager/kocha ni kama 30% tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mpeleke huyo ljungberg pale man city au liva halafu ndio utapata jibu
 
Back
Top Bottom