Arsenal inanitesa. Mapenzi yananitesa. Mi nitakua mgeni wa nani?

Mimi siwezi jisumbua mchumba akizingua mimi namtema.Kwan nkifa tutazikwa naye ,siwezi jitesa na madem n wengi kitaa.Na mechi haiwezi ikanisumbua kwan mm n mzung,mm sini mgumu mweusi hapa bagamoyo.Hata kama n yanga sina presha,najituliza sitaki ugonjwa wa moyo.
 
Basi aseno ipogo hivi hivi siku zote au umeanza kuishabikia msimu huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…