Arsenal kufufua matumaini leo

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Leo Arsenal itajaribu kufufua matamanio yao ya kubeba ubingwa wa ligi kuu dhidi ya timu mbovu na dhaifu sana msimu huu chelsea

Vibonde wa chelsea hawajashinda mechi kwa miezi miwili mfululizo

Arsenal ambao walibakiza mechi saba wachukue ubingwa,walizibwa midomo na vijana wa kloop, toka watoe sare na liverpool hawajainuka tena ni sare na vipigo

Ikumbukwe arsenal mara ya mwisho kushinda Epl ni miaka 20 mtawaliae

Km Arsenal atashinda leo atamshusha Manchester City kilelen kwa point tano na kufufua mbio za ubingwa

Utabiri
Arsenal 6-1 chelsea
 
Man city ana game 1 mkononi usisahau hilo,Arsenal hachukui EPL hata kama atashinda mechi zote zilizobaki kama na Man city atashinda mechi zote zilizobaki basi City anachukua epl,

Arsenal amuombee njaa tu City.
 
Aisee kwa hiyo mkeka wa leo tumuue nani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…