uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Leo Arsenal itajaribu kufufua matamanio yao ya kubeba ubingwa wa ligi kuu dhidi ya timu mbovu na dhaifu sana msimu huu chelsea
Vibonde wa chelsea hawajashinda mechi kwa miezi miwili mfululizo
Arsenal ambao walibakiza mechi saba wachukue ubingwa,walizibwa midomo na vijana wa kloop, toka watoe sare na liverpool hawajainuka tena ni sare na vipigo
Ikumbukwe arsenal mara ya mwisho kushinda Epl ni miaka 20 mtawaliae
Km Arsenal atashinda leo atamshusha Manchester City kilelen kwa point tano na kufufua mbio za ubingwa
Utabiri
Arsenal 6-1 chelsea