Arsenal kupanda nafasi ya tatu leo?

Arsenal kupanda nafasi ya tatu leo?

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
kama shabiki wa the gunners ninaamini leo ni fursa ya kipekee kupanda mpaka nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi kuu England.Je wachezaji wetu wamejipanga kwa kutosha? hayo yote tuachie dakika 90 uwanjani! Arsenal itabakii kuwa juuu
 
.
IMG_20190330_092446.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntaumia sana arsenal akishinda hil game
 
Naona top four igombaniwa balaaa

Hawa watu hawa
Man u
Chelsea
Arsenal
Totnum

Zinang'ang'ania nafasi mbili

Motoo lazima uwake tu ni mwendo wa kupinduana tu

Kama liver alivoshika usukani kwa muda badae man city


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom