Ngai Moko
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,301
- 1,738
Unatoa uhakika huoni ni kuwachawia ArsenalKwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoa uhakika huoni ni kuwachawia ArsenalKwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu
Jibu swali nimeuliza anaongoza kwa point ngapi mpaka sasaIpo nafasi ya kwanza mpaka kesho saa nne.mechi ikiisha,atakuwa nafasi ya mwisho kabisa baada ya Kula kichapo cha mbwa koko
Jibu swali nimeuliza anaongoza kwa point ngapi mpaka sasaIpo nafasi ya kwanza mpaka kesho saa nne.mechi ikiisha,atakuwa nafasi ya mwisho kabisa baada ya Kula kichapo cha mbwa koko
Usikate tamaa mapema,msimu huu mashabiki wa Arsenal atutoangalia mpira na vidonge vya presha mkononi.Hatuna kipya kaka
Acha tu mkuu.Mpaka sasa hali mbaya..
Heshima yako mkuuMi naona game ya kesho Arsenal tuna nafasi kubwa ya kufungwa.
Kwakua akili ya Arteta ipo pale pale kumtumia ST ambaye ni Auba na Auba kashaonyesha anahitaji spark ya AM ambaye hayupo.
On the other hand Brentford wana forward inayojua kuscore na iko vizuri katika kuscore so naona Arsenal tutamiliki mpira ila hatutakua lethal badala yake Brentford akipata mpira nyasi zitakua zinatafutana.
Sina pesa ila ningejisogeza kibanda umiza nipate kushare maoni vizuri.Heshima yako mkuu
HakiaMungu mm nitasimama kuangalalia mpira soon, huu ujinga sana timu hiiTumekuwa kama wanawake(supu) wa bar mpaka vitoto vidogo, hela yako tu[emoji23][emoji1787]
Hivi kweli nyie Arsenal mpo serious kweli? Wenzenu wanasajili wachezaji wa maana. Akina Grealish, Lukakua, Konate, Bryan Gil n.k halafu nyie usajili wenu ni akina Okwonko, Sambi Lokonga.
Na mnategemea mshindane kweli?