Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Kila timu ishinde mechi zake za nyumbani,kasoro Arsenal.Jibu swali nimeuliza anaongoza kwa point ngapi mpaka sasa
Mzuka wanajamvi!
Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.
Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.
Kwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu na kuwa timu ya kwanza kuongoza ligi msimu wa 2021/22.
Nawapa hongera na pongezi za dhati mashabiki wa Arsenal.
View attachment 1890239
Mtuache kidogoInaelekea dakika ya 75,Manchester utd 5 vs Leeds utd 1.
Matokeo yakibaki hivi,arsenal atapanda mpaka nafasi ya 19 Kwa muda.
Ongea tena na tena msimu huu ndio tutakuwa weupe kuliko hata msimu uliopitaUsikate tamaa mapema,msimu huu mashabiki wa Arsenal atutoangalia mpira na vidonge vya presha mkononi.