Arsenal lini tutabeba UEFA Champions league?

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu.

Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
 
United itabeba kombe mbele ya arsenal

𝗕𝗲𝗸𝗶 𝘄𝗮 𝘇𝗮𝗺𝗮𝗻𝗶 𝘄𝗮 𝗠𝗮𝗻 𝗨𝗻𝗶𝘁𝗲𝗱 𝗣𝗮𝘁𝗿𝗶𝗰𝗲 𝗘𝘃𝗿𝗮:

🗣️“Miaka Kama 15 iliyopita nilikuwa nawaita Arsenal “vitoto “-kuna wale walipinga kauli hii na wengine wakakubaliana na mimi. Hakukua na timu rahisi ya kucheza nayo kama Arsenal, hata wangeongoza 2-0 bado najua tungeshinda.

🗣️“Ferguson alikuwa akituambia tuache kucheza tiki-taka kama twacheza na Arsenal ila tuhakikishe wachezaji wao wanatoka uwanjani wanachechemea. Kila wakati tukicheza nao,hatukua na mafunzo yoyote yale ya ki-mbinu au kiufundi dhidi ya Arsenal- tulijua tu kushinda dhidi yao ni rahisi mno.

🗣️“Alipoingia Arteta tuliona mambo yatabadilika. Hadi sasa kuitazama Arsenal ni kama kutazama Netflix. Hao wanasubiri tu msimu ujao, kila wakati ni msimu ujao na amini usiamini, kila msimu wako vile vile.”
 
Hayo ni maoni yake Evra. Bado yupo usingizini anaota Mambo yaliyopita miaka mingi.
Arsenal kampiga Manchester United mara 4 mfululizo bila majibu.
 
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu.

Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
Soon..!
 
Mwaka huu.
 
Back
Top Bottom