Arsenal lini tutabeba UEFA Champions league?

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu.

Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
United itabeba kombe mbele ya arsenal



๐—•๐—ฒ๐—ธ๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ป ๐—จ๐—ป๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฃ๐—ฎ๐˜๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฒ ๐—˜๐˜ƒ๐—ฟ๐—ฎ:

๐Ÿ—ฃ๏ธโ€œMiaka Kama 15 iliyopita nilikuwa nawaita Arsenal โ€œvitoto โ€œ-kuna wale walipinga kauli hii na wengine wakakubaliana na mimi. Hakukua na timu rahisi ya kucheza nayo kama Arsenal, hata wangeongoza 2-0 bado najua tungeshinda.

๐Ÿ—ฃ๏ธโ€œFerguson alikuwa akituambia tuache kucheza tiki-taka kama twacheza na Arsenal ila tuhakikishe wachezaji wao wanatoka uwanjani wanachechemea. Kila wakati tukicheza nao,hatukua na mafunzo yoyote yale ya ki-mbinu au kiufundi dhidi ya Arsenal- tulijua tu kushinda dhidi yao ni rahisi mno.

๐Ÿ—ฃ๏ธโ€œAlipoingia Arteta tuliona mambo yatabadilika. Hadi sasa kuitazama Arsenal ni kama kutazama Netflix. Hao wanasubiri tu msimu ujao, kila wakati ni msimu ujao na amini usiamini, kila msimu wako vile vile.โ€
 
Hayo ni maoni yake Evra. Bado yupo usingizini anaota Mambo yaliyopita miaka mingi.
Arsenal kampiga Manchester United mara 4 mfululizo bila majibu.
 
Soon..!
 
Mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ