Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Tot hawajasajir kwa gharama kubwa misimu hii miwili, wanajenga uwanja mkubwa, hawana madeniYani Tottenham tajiri kuliko Manchester United, real Madrid, Barcelona, Chelsea... Wakapimwe mkojo
Hakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.Man u ,chelsea na madrid ni vilabu vinavyojiendesha kwa madeni,
Ukichukua mapato yao toa na madeni , wanabaki na hela za kawaida
Mwez uliopita ,Audit ilifanyika man city ,ikaonekana wapo njema hawana NEGATIVE, wana zero debit
Arsenal hawajasajiri kwa fujo, kiingilio cha emirates ni kikubwa ULAYA NZIMA, hawana madeni makubwa
Sana Mkuu washika bunduki wako juuNdo manake kubabake wanAosema gunners hana hela wakuje hapa.....,ndo tunaanza hivyo leo kufunga midomo Europe....., tumeanza na Chelsea babake.....,bado wengine kubabake.....
Fuatilia vizuri mkuu, utajiri wowote ukitajwa hauhusishi madeni, man u ndio klabu inayoingiza pesa nyingi zaidi kupitia viingilio vya mashabikiMan u ,chelsea na madrid ni vilabu vinavyojiendesha kwa madeni,
Ukichukua mapato yao toa na madeni , wanabaki na hela za kawaida
Mwez uliopita ,Audit ilifanyika man city ,ikaonekana wapo njema hawana NEGATIVE, wana zero debit
Arsenal hawajasajiri kwa fujo, kiingilio cha emirates ni kikubwa ULAYA NZIMA, hawana madeni makubwa
Ni kweli. No situation is permanentNaona timu zimebadilishana nafasi.
Barcelona naona imeingia kwenye orodha ya klabu masikini Duniani, maana siioni kwenye orodhaKwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa goal.com
Imetoa list mpya, ya vilabu tajiri duniani, Suprise ikiwa ni Manchester city na arsenal kushika nafasi za juu
Ingia hapa kwa taarifa zaidi
Man City top list of richest clubs in Soccerex Football Finance 100 | Goal.com
LIST KAMILI HII HAPA
Sio wewe wa Kolomije ndio wa kupimwa mkojo..!?Yani Tottenham tajiri kuliko Manchester United, real Madrid, Barcelona, Chelsea... Wakapimwe mkojo
Ahahaaaaaaaaaaah...Hakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.
Ha ha from very unreliable sourceYani Tottenham tajiri kuliko Manchester United, real Madrid, Barcelona, Chelsea... Wakapimwe mkojo
Tena kwa miaka mingi hua wanabadilishana tu positionsHakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.
Wakati Forbes msimu uliopita ndio wameitaja team tajiri ya kwanza wakifuatia na Madrid then ManchesterBarcelona naona imeingia kwenye orodha ya klabu masikini Duniani, maana siioni kwenye orodha
Mnaingiza pesa nyingi kupitia viingilio sababu ya uwanja mkubwa lakini sisi tuna viingilio vikubwa, uwanja mdogo piga picha tujenge tena mwingine uwe mkubwa zaidi yenu!..Fuatilia vizuri mkuu, utajiri wowote ukitajwa hauhusishi madeni, man u ndio klabu inayoingiza pesa nyingi zaidi kupitia viingilio vya mashabiki
Sasa kabishane na hao jamaaFuatilia vizuri mkuu, utajiri wowote ukitajwa hauhusishi madeni, man u ndio klabu inayoingiza pesa nyingi zaidi kupitia viingilio vya mashabiki