Arsenal na Manchester City vyawa vilabu tajiri duniani

Jackwillpower

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
2,467
Reaction score
3,687
Kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa goal.com

Imetoa list mpya, ya vilabu tajiri duniani, Suprise ikiwa ni Manchester city na arsenal kushika nafasi za juu

Ingia hapa kwa taarifa zaidi

Man City top list of richest clubs in Soccerex Football Finance 100 | Goal.com

LIST KAMILI HII HAPA
3014ed8a1e0aad329764ac1f8b10a547.jpg
 
Yani Tottenham tajiri kuliko Manchester United, real Madrid, Barcelona, Chelsea... Wakapimwe mkojo
Tot hawajasajir kwa gharama kubwa misimu hii miwili, wanajenga uwanja mkubwa, hawana madeni

Hii list imeangalia hasa net profit ,ambapo kwa timu kama MADRID ,MAN U zenye madeni, ukija kwenye uhalisia kilichopo benk toa na maden wanabaki na hela ya mboga tu
 
Man u ,chelsea na madrid ni vilabu vinavyojiendesha kwa madeni,

Ukichukua mapato yao toa na madeni , wanabaki na hela za kawaida

Mwez uliopita ,Audit ilifanyika man city ,ikaonekana wapo njema hawana NEGATIVE, wana zero debit

Arsenal hawajasajiri kwa fujo, kiingilio cha emirates ni kikubwa ULAYA NZIMA, hawana madeni makubwa
 
Hakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.
 
Fuatilia vizuri mkuu, utajiri wowote ukitajwa hauhusishi madeni, man u ndio klabu inayoingiza pesa nyingi zaidi kupitia viingilio vya mashabiki
 
Ahahaaaaaaaaaaah...
So unalazimisha watu wakuamini wewe..!!?
Who are you bruh..!?
 
Hakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.
Tena kwa miaka mingi hua wanabadilishana tu positions
 
Barcelona naona imeingia kwenye orodha ya klabu masikini Duniani, maana siioni kwenye orodha
Wakati Forbes msimu uliopita ndio wameitaja team tajiri ya kwanza wakifuatia na Madrid then Manchester
Sio kila anae upload data kwenye internet ni reliable jamani wengine wanakua tu wamevimbia wanachapa na ku post
Forbes ndio reliable source kwenye hayo masuala
 
Fuatilia vizuri mkuu, utajiri wowote ukitajwa hauhusishi madeni, man u ndio klabu inayoingiza pesa nyingi zaidi kupitia viingilio vya mashabiki
Mnaingiza pesa nyingi kupitia viingilio sababu ya uwanja mkubwa lakini sisi tuna viingilio vikubwa, uwanja mdogo piga picha tujenge tena mwingine uwe mkubwa zaidi yenu!..
 
Fuatilia vizuri mkuu, utajiri wowote ukitajwa hauhusishi madeni, man u ndio klabu inayoingiza pesa nyingi zaidi kupitia viingilio vya mashabiki
Sasa kabishane na hao jamaa

Na ukizungumzia gate collection, Ulaya anaongoza arsenal, man u ni kwenye jezi

Unajua kiingilio cha emirate ni kikubwa kuliko timu zote ulaya?

Huo mtandao umesema wameangalia kilichopo , na Man city walipofanya audit walikuta wana ZERO DEBIT,
 
Back
Top Bottom