Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
- Thread starter
-
- #21
Usikariri ,hizo ni zilipendwaHakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.
Refa katuua janANdo manake kubabake wanAosema gunners hana hela wakuje hapa.....,ndo tunaanza hivyo leo kufunga midomo Europe....., tumeanza na Chelsea babake.....,bado wengine kubabake.....
Na pia katika mishahara real , na man u wanawalipa wachezaji wao hela nyingi tofauti na tot ,arsenalTot hawajasajir kwa gharama kubwa misimu hii miwili, wanajenga uwanja mkubwa, hawana madeni
Hii list imeangalia hasa net profit ,ambapo kwa timu kama MADRID ,MAN U zenye madeni, ukija kwenye uhalisia kilichopo benk toa na maden wanabaki na hela ya mboga tu
Man u ,madrid nguvu yao ipo kwenye mikopo zaid
Psg, man city hawakopi wanachofanya wamiliki wao wanahamisha hela zao kuzileta kwenye club kwa njia mbali mbali kama Udhamini, mfano MAN CITY, kupitia shirika la ETIHAD, wamepitisha MPUNGA MREFU sana kuuingiza Man city
SASA WATU BADO WANAKARIRI ,man u ,madrid ndio vilabu tajiri,
Pale PSG nasser anachofanya anahamisha HELA kupitia haki za matangazo, kupitia mashirika ya ndege kama emirates ,na Tv rights hasa BEIN SPORT,
SASA WAHAFIDHINA ENDELEENI KUAMINI MAN U NA MADRID NDIO VILABU TAJIRI
Baada ya miaka mitano vilabu tajir vitakuwa PSG,ARSENAL ,MAN CITY
Arsenal sio watumiaji wakubwa wa hela ovyo, pia hawana madeni
Na wana base ya mashabiki wanaonunua jez, wana kiingilio kikubwa kupitia GATE COLLECTION, mara mbili zaid ya cha OLD TRAFFORD
ARSENAL akiondoka wenger itafanya usajir mkubwa ,kwakuwa Ina base ya utajir sawa na kina PSG NA MAN CITY
hio mikopo yao ni visenti tu compare na thamani ya club zao, list yako inasema tu utajiri ila haisemi kiasi gani. ni kama mtu abwabwaje humu fulani ni tajiri Tanzania nzima lakini asiseme ni utajiri wake ni kiasi gani.Man u ,madrid nguvu yao ipo kwenye mikopo zaid
Psg, man city hawakopi wanachofanya wamiliki wao wanahamisha hela zao kuzileta kwenye club kwa njia mbali mbali kama Udhamini, mfano MAN CITY, kupitia shirika la ETIHAD, wamepitisha MPUNGA MREFU sana kuuingiza Man city
SASA WATU BADO WANAKARIRI ,man u ,madrid ndio vilabu tajiri,
Pale PSG nasser anachofanya anahamisha HELA kupitia haki za matangazo, kupitia mashirika ya ndege kama emirates ,na Tv rights hasa BEIN SPORT,
SASA WAHAFIDHINA ENDELEENI KUAMINI MAN U NA MADRID NDIO VILABU TAJIRI
Baada ya miaka mitano vilabu tajir vitakuwa PSG,ARSENAL ,MAN CITY
Arsenal sio watumiaji wakubwa wa hela ovyo, pia hawana madeni
Na wana base ya mashabiki wanaonunua jez, wana kiingilio kikubwa kupitia GATE COLLECTION, mara mbili zaid ya cha OLD TRAFFORD
ARSENAL akiondoka wenger itafanya usajir mkubwa ,kwakuwa Ina base ya utajir sawa na kina PSG NA MAN CITY
Hapa ndo Babu Wenger anapotuchanganya Akili. Aendelee tu kuwepo bado tunampenda.Ndo manake kubabake wanAosema gunners hana hela wakuje hapa.....,ndo tunaanza hivyo leo kufunga midomo Europe....., tumeanza na Chelsea babake.....,bado wengine kubabake.....
Usikariri, real wanaolipwa vzr ni wachezaji hawazid watano, wengine wanalipwa kawaida, fatilia mishahara ya marcelo, modric, covacic, n.k uone wanazidiwa na wachezaji had wa totNa pia katika mishahara real , na man u wanawalipa wachezaji wao hela nyingi tofauti na tot ,arsenal
Waeleweshe vzr........,hawaelewi....Tot hawajasajir kwa gharama kubwa misimu hii miwili, wanajenga uwanja mkubwa, hawana madeni
Hii list imeangalia hasa net profit ,ambapo kwa timu kama MADRID ,MAN U zenye madeni, ukija kwenye uhalisia kilichopo benk toa na maden wanabaki na hela ya mboga tu
Rotated anticlockwise......, babake unataka umweke spurs juu ya arsenal??????Hii kama ni kweli ni habari mbaya sana kwa arsenal fans kama mimi.
Hapa tusahau babu kutoka kama anaingiza mkwanja licha ya kufanya vibaya.
Ila sidhani kama ni reliable source hii, spurs juu, barca, real, Manutd chini ya arsenal??
Refa...pumbuji yule...Refa katuua janA
Sasa vikombe tunavyobeba anachezamo babAko ama....????Sasa Arsenal mnautajiri lakini hamnafuraha na maanisha vikombe vyenye ushindani.
Leta ukweli wako...Hizo taarifa za uongo
Wewe ndio upo sahihi kuliko hao jamaa? Wabongo bhanamtoa mada
1. japo habari umeitoa goal.com hizo sio data za goal.com wao wameandika tu, hio ni habari ya soccerex football finance 100
2. moja ya kigezo walichotumia kupima utajiri ni potential owner investment, sidhani kama wataalamu wa uchumi wanakubaliana na hili, yani wanahisi mmiliki atamwaga hela kwa kipindi cha baadae halafu wanasema hio club ni tajiri kwa sasa? je asipotoa?
3. ukisoma namba 4 kwenye hio list wamewaweka Guangzhou Evergrande na wakasema hivi
"The Chinese club are owned by two of the world's wealthiest enterprises, Evergrande and Ali Baba, a fact which accounts for the vast majority of their wealth. No club, not even PSG, can match Guangzhou in terms of potential investment from those in charge"
hapa inaonesha kabisa wanaangalia utajiri wa mmiliki kupima utajiri wa club kitu ambacho sio sahihi, sababu ni vitu viwili tofauti.
na hao jamaa wapo sahihi kuliko mapato ya timu na forbes? sababu kuna data kibao zinapingana nao.Wewe ndio upo sahihi kuliko hao jamaa? Wabongo bhana
Ndio tatizo la kukariri hiliHakuna kitu kama hicho up to know Manchester united ,Real Madrid and Barcelona they still top 3 richest clubs in the world.
Forbes washawahi kuhongwa na mohamed dewjina hao jamaa wapo sahihi kuliko mapato ya timu na forbes? sababu kuna data kibao zinapingana nao.
Man Utd overtake Real Madrid to top Forbes football rich list