Man u ,madrid nguvu yao ipo kwenye mikopo zaid
Psg, man city hawakopi wanachofanya wamiliki wao wanahamisha hela zao kuzileta kwenye club kwa njia mbali mbali kama Udhamini, mfano MAN CITY, kupitia shirika la ETIHAD, wamepitisha MPUNGA MREFU sana kuuingiza Man city
SASA WATU BADO WANAKARIRI ,man u ,madrid ndio vilabu tajiri,
Pale PSG nasser anachofanya anahamisha HELA kupitia haki za matangazo, kupitia mashirika ya ndege kama emirates ,na Tv rights hasa BEIN SPORT,
SASA WAHAFIDHINA ENDELEENI KUAMINI MAN U NA MADRID NDIO VILABU TAJIRI
Baada ya miaka mitano vilabu tajir vitakuwa PSG,ARSENAL ,MAN CITY
Arsenal sio watumiaji wakubwa wa hela ovyo, pia hawana madeni
Na wana base ya mashabiki wanaonunua jez, wana kiingilio kikubwa kupitia GATE COLLECTION, mara mbili zaid ya cha OLD TRAFFORD
ARSENAL akiondoka wenger itafanya usajir mkubwa ,kwakuwa Ina base ya utajir sawa na kina PSG NA MAN CITY